Lionel Messi akitokea Benchi alifanikiwa kufunga magoli matatu (Hat-trick) ndani ya Dakika 30, wakati Argentina ikishinda jumla ya magoli 5 - 0 dhidi ya Panama na kufanikiwa kutinga hatua ya robo fainali michuano ya Copa America Contenario inayofanyika huko nchini Marekani.
Tazama Video Hapa Chini
0 comments:
Post a Comment