VIDEO: GOLI BORA LA UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2015/16
Goli la Christiano Ronaldo Alilofunga Dhidi Ya AS Roma Ndiyo Limepigiwa Kura Nyingi Kuwa Goli Bora La Uefa Champions League Msimu Wa 2015/16.
Litazame Hapa Chini
Like Ukurasa Wa Soka24 Facebook Hapa
…Read More
UEFA YAZIPIGA FAINI KLABU ZA LIVERPOOL NA MAN UTD
klabu ya Liverpool na Manchester United zimepigwa faini na UEFA kutokana na vurugu za mashabiki wao walizozifanya katika mchezo wa Europa league hatua ya 16 bora.
Klabu Zote zimekumbana na faini hiyo baada ya mash…Read More
CHRISTIANO RONALDO HATARINI KUIKOSA FAINALI UEFA CHAMPIONS
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno Christinao Ronaldo amegongana na Kiko Casilla katika mazoezi leo asubuhi, kugongana ambako kulimpelekea CR7 kutoka nje kitu ambacho kimeleta hofu juu ya uwepo wake katika fainali ya klabu b…Read More
UEFA Yapitisha Sheria Mpya Kuelekea Fainali Juve & Real Madrid
Kwa lengo la kulinda utimamu wa wachezaji shirikisho la mpira wa miguu barani Ulaya UEFA imepitisha sheria mpya ambayo itaziwezesha timu kufanya mabadiliko (substitution) mara nne badala ya mara tatu ambayo ilikuwepo awali …Read More
0 comments:
Post a Comment