Mfungaji bora wa ligi kuu nchini Uingereza Jamie Vardy ameongeza mkataba wa miaka minne katika klabu yake ya Leicester city.
Mshambuliaji huyo hivi karibuni alihusishwa na kujiunga na klabu ya Arsenal lakini uvumi huo sasa utakuwa umeisha baada ya kuamua kumwaga wino tena klabuni hapo.
Sasa hivi kazi imebaki kwa N'golo Kante ambaye aligoma kuongeza mkataba mpya klabuni hapo huku vilabu vingi vya ligi kuu nchini humo vikionyesha kutaka huduma yake.
0 comments:
Post a Comment