Simba ipo katika harakati za kukisuka upya kikosi chao na tayari taarifa za ndani ya klabu hiyo zimeonyesha wazi wachezaji ambao wataondoka klabuni hapo kupisha wengine waendeleze gurudumu Msimbazi.
Kwa mujibu wa Gazeti maarufu la michezo nchini, Mwanaspoti, wanaotupiwa virago Simba ni;
Wazawa;
i. Mohammed Fakhi
ii.Hassan Isihaka
iii.Peter Mwalyanzi
Wageni;
i. Hamis Kiiza
ii. Juuko Murshid
iii. Emiry Nimubona
iv. Raphael Kiongera
v. Brian Majwega.
0 comments:
Post a Comment