Tuesday, June 14, 2016

DARREN RODGERS AFARIKI DUNIA HUKO UFARANSA EURO 2016

Shabiki wa Ireland ya Kaskazini Darren Rodgers 25, amefariki dunia baada ya kuanguka kutoka kwenye kingo za Beach ya Promenade des Anglais na kudondokea kwenye mwamba uliopembezoni mwa Beach hiyo huko Nice, Ufaransa.


Tukio hilo ni ajali tu na halikupangwa na mtu yeyote.
Polisi nchini Ufaransa wamewasiliana na ndugu wa marehemu ili kuwakabidhi mwili wa mpendwa wao.


Darren (Kushoto), Mwonekano wa Sehemu Alipoanguka (Kulia)

Hapa Ndipo Darren Alipoanguka

Polisi Wakiwa Eneo Darren alipoanguka
Bonyeza hapa ku-Like Page ya Soka24 Facebook

0 comments:

Post a Comment