Timu ya Yanga imewasili salama jijini Mbeya Asubuhi ya leo wakitokea Dar, Kesho saa 10 : 00 alasiri mabingwa hao watashuka katika uwanja wa Sokoine kuwakabili wagonga nyundo Mbeya City!
Jioni ya leo na kesho asubuhi Yanga watafanya mazoezi mepesi katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine kwa ajili ya kujiweka sawa,
0 comments:
Post a Comment