MCHEZO Kati ya Simba SC na Mwadui FC umemalizika kwa Mwadui kuibuka na ushindi wa goli 1 - 0. Simba walikuwa wanahitaji kushinda katika mechi hii ili kuisubirisha Yanga kutangaza ubingwa mapema, lakini hilo limeshindikana baada ya Simba kukubali kipigo hicho cha goli moja kwa bila.
Matokeo haya yameipa Yanga ubingwa moja kwa moja kwakuwa katika mechi 3 zilizobaki katika ligi hakuna timu yoyote inayoweza kufikia pointi 68 ambazo Yanga wanazo kwa sasa.
0 comments:
Post a Comment