Sunday, May 22, 2016

RIPOTI KAMILI YA LIGI KUU VODACOM 2015/16

Pazia la Ligi Kuu Vodacom Limefungwa hivi leo kwa timu zote kucheza katika kumamilisha ratiba ya ligi hiyo.




Soka24 inakuletea ripoti yote ya Ligi kuu Vodacom Msimu wa 2015-2016

MATOKEO YA MECHI ZA LEO MEI 22

Toto 0 - 1 Stand united

Majimaji 2 - 2 Yanga

Simba 1 - 2 Jkt ruvu

Azam 1- 1 Mgambo 

Coastal union 0 - 2 Prisons 

Mbeya City 0 - 0 Ndanda 

Mtibwa 2 - 0 African sports

Mwadui 0 - 2  Kagera Sugar 

BINGWA 2015-2016

Dar Young Africans - DAR-ES-SALAAM

MSHINDI WA PILI

Azam Football Club - DAR-ES-SALAAM

MSHINDI WA TATU

Simba Sports Club - DAR-ES-SALAAM

MSHINDI WA NNE

Mtibwa Sugar - MOROGORO


TIMU  ZILIZOSHUKA DARAJA

African Sports - TANGA

Coastal Union - TANGA

Mgambo JKT - TANGA

MFUNGAJI BORA

Amiss Jocelyn Tambwe - Yanga- Magoli 21

TUZO ZA WACHEZAJI LIGI KUU VODACOM MIEZI 5 ILIYOPITA


MCHEZAJI BORA MWEZI APRIL

Juma Abdul Jaffar - Yanga SC

MCHEZAJI BORA MARCH 2016


Shiza Ramadhani Kichuya - Mtibwa Sugar

MCHEZAJI BORA FEBRUARI 2016


Mohamed Mkopi - Tanzania Prisons

MCHEZAJI BORA JANUARI 2016


Shomari Kapombe - Azam FC

MCHEZAJI BORA DISEMBA 2015

Thaban Kamusoko - Yanga SC


MSIMAMO BAADA YA MECHI ZA LEO













0 comments:

Post a Comment