Tuesday, May 10, 2016

MICHEL PLATINI AJIUDHULU NAFASI YA URAIS UEFA


Michel Platini jumatatu hii amejiudhulu nafasi yake ya urais katika shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya maarufu kama UEFA, Platini amefikia hatua hiyo baada ya rufaa yake kushindikana kabisa na badala yake kupunguziwa adhabu kutoka miaka sita hadi 4,
Platini amekuwa rais wa uefa tangu mwaka 2007 na kifungao alichokipata kutoka katika mahakama inayoshughulika na usuluhishi wa masuala ya kimichezo (Court of Arbitration for Sports- CAS-) kimehitimisha nyadhifa ya Urais ya Mfaransa huyo.
 CAS ilitupilia mbali rufaa ya Platini huku ikisema haikuwa na mashiko juu ya uhalali wa pesa ambazo Platini alizipokea kutoka kwa aliyekuwa rais wa shirikisho la mpira wa miguu duniani Sepp Blatter.

HISTORIA FUPI YA PLATINI

Name: Michel Platini
Nationality: French
Date of birth: June 21, 1955
Place of birth: Joeuf, France
Position as a player: Midfielder/playmaker
Current function: UEFA president since 2007 - resigned from the role on May 9, 2016 after he failed to overturn an international ban
Playing career
Clubs: Nancy (1972-1979), Saint-Etienne 1979-1982), Juventus (1982-1987)
Major club honours: European Cup: (1985, Juventus); European Cup Winners' Cup: (1984, Juventus); French league champion (1981, Saint-Etienne); Italian league champion: (1984, 1986, Juventus);

French Cup
: (1978, Nancy); Italian Cup: (1983, Juventus)
France national team: 72 caps (captain 50 times) 1976-1987, 41 goals
International honours: European champion 1984

Coaching career

France national team 1988-1992
Personal honours:
Ballon d'Or - 1983, 1984, 198

Platini also holds the record for most goals (9) scored in a European Championship in 1984.

0 comments:

Post a Comment