Sunday, May 8, 2016
LEICESTER CITY WALIVYOSHANGILIA TAJI LAO LA EPL 2015/16
Related Posts:
VAN GAAL ATUPIWA VIRAGO MAN U Aliyekuwa kocha wa Man United Louis Van Gaal ametimuliwa rasmi kikosini hapo yeye na jopo lake lote Daily Mail imeripoti. Kutimuliwa huko kwa Van Gaal kunatoa fursa sasa kwa Mourinho aliyehusishwa na kujiunga na … Read More
SUPERSTAA WA LEICESTER CITY AGOMA KUBAKI KLABUNI HAPO Leicester City ndio mabingwa wapya wa ligi kuu nchini Uingereza msimu wa 2015/16, na kama inavyotegemewa na wengi kuwa idadi kubwa ya wachezaji klabuni hapo wataihama klabu hiyo tayari Kante ameshagoma kuongeza mkataba Leice… Read More
BAADA YA KUSHUKA DARAJA ASTON VILLA YAPIGWA MNADA Klabu ya soka ya Aston villa ambayo imeteremka daraja msimu huu katika ligi kuu ya England,hatimaye imenunuliwa na tajiri wa kichina Tony Xia ambaye ni mfanya biashara aliyewekeza katika sekta ya Michezo,Utalii,kilimo na afy… Read More
LICHA YA KUIPA UNITED UBINGWA WA FA, VAN GAAL KUTIMULIWA JUMATATU Ripoti ya BBC imeeleza kuwa Manchester United wamepanga kumfukuza Louis van Gaal kesho Jumatatu na kumpa Jose Mourinho kibarua cha kuinoa United. Louis Van Gaal ameiwezesha United kutwaa ubingwa wa FA, Man U wakitwaa t… Read More
MNAOSUBIRI MOURINHO KUTANGAZWA KUWA KOCHA WA MAN U, HIKI NDO KINACHOCHELEWESHA DILI HILO Van Gaal ameshafukuzwa Manchester United na Matarajio ya wengi ni kusikia Mourinho akitangazwa kurithi mikoba ya Mholanzi huyo lakini kumekuwa na sababu ambayo inachelewesha Mourinho kutangazwa Rasmi. Usajili wa Mourinho… Read More
0 comments:
Post a Comment