TIMU ya Leicester City wametwaa taji la EPL rasmi baada ya Tottenhma kushindwa kuwafunga Chelsea katika Mchezo ulipiogwa jana Usiku. Matokeo hayo ya sare yameifanya Tottenham kufikisha pointi 70 huku ikiwa imebakisha mechi mbili tu wakati Leicester wao wana pointi 77 wakiwa pia wamebakisha mechi 2. hivyo Tottenham hawataweza kuzifikia pointi hizo hata wakishinda mechi zao zote zilizobaki.
0 comments:
Post a Comment