Monday, May 9, 2016

HASSAN RAMADHANI KESSY AMWAGA WINO YANGA


Beki wa kulia wa Simba SC, Hassan Ramadhani Kessy (katikati) akitia dole gumba kwenye fomu za Mkataba wa Yanga, Kessy amesaini miaka miwili kuitumikia Yanga kuanzia mwezi ujao. Zoezi hilo lilifanyika juzi usiku mjini Dar es Salaam. 

0 comments:

Post a Comment