Yanga imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la shirikisho Azam Sports Federation Cup baada ya kuitwanga Azam FC jumla ya magoli 3 - 1
TUZO ZA WACHEZAJI
JUMA ABDUL JAFFAR- MCHEZAJI BORA WA MASHINDANO (YANGA)AISHI MANULA- MLINDA MLANGO BORA (AZAM FC)ATUPELLE GREEN- MFUNGAJI BORA (NDANDA FC)
Mrisho Ngassa Aibuka uwanjani hapo |
0 comments:
Post a Comment