Thursday, April 21, 2016

YANGA YATOLEWA KLABU BINGWA AFRIKA

Timu ya soka ya Yanga imeyaaga mashindano ya klabu bingwa barani Afrika baada ya kukubali kichapo cha magoli 2-1 toka kwa Al Ahly na kufanya jumla ya magoli ya Al Ahly kufikia 3 na jumla ya magoli ya Yanga kufikia 2. 
Yanga sasa itashuka kucheza katika michuano ya shirikisho na timu itakayo kutana nayo bado haijafahamika mpaka droo ifanyike leo hii.

0 comments:

Post a Comment