Wednesday, April 20, 2016

Kikosi Cha Yanga Kitakachoanza Dhidi ya Al Ahly Leo hii

KLABU BINGWA AFRIKA || 2015 ~ 2016.
AL AHLY Vs YOUNG AFRICAN (YANGA)
Uwanja :- Borg El Arab.

KIKOSI CHA YANGA LEO.
1. Deo Bonaventura Munishi
2. Juma Abdul Japhary.
3.Oscar Fanuel Joshua.
4.Vicent Bossou.
5.Nadir Ally Haroub.
6.Thaban Michael Kamusoko.
7.Saimon Happygod Msuva.
8.Haruna Hakizimana Niyonzima.
9.Amiss Jocelyn Tambwe.
10.Donald Dombo Ngoma.
11.Deus David Kaseke.
BENCHI -
Ally Mustafa Mtinge
Kelvin Patrick Yondani
Paul Nonga
Malimi Marcel Busungu
Mbuyu Twite
Issoufou Aboubakar Garba.
Salum Telela
Mchezo wa kwanza:-
Young African 1 - Al Ahly 1.

MUNGU IBARIKI YANGA.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
KILA LA HERI WAWAKILISHI PEKEE WA KIMATAIFA KUTOKA TANZANIA.

Related Posts:

  • Guardiola Azima Ndoto Za Christiano Ronaldo Nusu Fainali UEFA kocha huyo wa Bayern Muchen amemwomba msamaha mshambuliaji huyo wa Ureno na Klabu ya Real Madrid Christiano Ronaldo kufuatia kile alichokiita Guardiola kuzima ndoto za Ronaldo nusu Fainali ya UEFA Champions. Bayern ili… Read More
  • Tanzania Yazidi Kupata Umaarufu Duniani Bondia Ibrahim Class Bondia mtanzania Ibrahim Class ‘King Class Mawe’ameendelea kutamba katika mapigano yake nje ya nchi baada ya usiku wa kuamkia jana kufanikiwa kumtwanga Mjerumani huko Panama City Amerika Kusini. … Read More
  • Hii Ndo Ratiba Ya EUROPA League UEFA Europa League Thursday, April 28, 2016 22:05 Shakhtar Donetsk v Sevilla  22:05 Villarreal v Liverpool Thursday, May 5, 2016 22:05 Liverpool v Villarreal 22:05 Sevilla FCSevill… Read More
  • Wachezaji Tano Waliofariki Uwanjani Mpira wa miguu ni moja kati ya michezo inayopendwa zaidi duniani. Mashabiki na wapenzi wa mchezo huo hufurahia pale wanapowaona wachezaji wao wakifanya vitu vizuri uwanjani, wengine furaha zao hupitiliza hadi kuwa vilio.… Read More
  • Ratiba Ya UEFA Champions League Nusu Fainali Full Champions League semi-final draw: Manchester City (ENG) vs Real Madrid (ESP) Atletico Madrid (ESP) vs Bayern Munich (GER) Champions League Final: Winner of semi-final 1 vs Winner of semi-final 2 … Read More

0 comments:

Post a Comment