Monday, April 18, 2016

Msafara Wa Yanga Wawasili Salama Nchini Misri


Msafara wa Yanga umewasili salama nchini Misri.
Msafara huo uliondoka jioni ya jama kuwafuata National Al Ahly katika mchezo wa marudiano klabu bingwa barani Afrika.
Mchezo wa kwanza uliopigwa hapa Dar timu hizo zilitoshana nguvu kwa kutoka sare ya magoli 1 - 1.
Yanga inahitaji ushindi katika mechi hiyo ili kuweza kusonga mbele katika michuano hiyo ya Klabu Bingwa Barani Afrika

KILA LA HERI YANGA AFRIKA.

0 comments:

Post a Comment