Tuesday, April 12, 2016
Mrembo Afichua Siri Za Christiano Ronaldo
Licha ya kuwa na majukumu mengi ya kuitumikia moja ya klabu kubwa duniani lakini Cristiano Ronaldo bado yuko vizuri kukimbizana warembo wakali.
Star huyo wa Madrid amekuwa na mahusiano na vimwana wenye majina makubwa kwa miaka kadhaa lakini safari hii anahusishwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na model wa kituruki anayefahamika kwa jina la Cansu Taskin.
Taskin anajina kubwa kwenye tasnia ya modeling na hivi karibuni alihojiwa kwenye television ya Uturuki ambapo alikiri mwenyewe kwamba anawasiliana mara kwa mara na nyota huyo mwenye miaka 31 sasa.
Ronaldo alikuwa kwenye mahusiano na model ambaye ni muigizaji pia wa Russia Irina Shayk, inataarifiwa kwamba amekuwa akiwasiliana muda mwingi na mpenzi wake mpya kupitia mitandao ya kijamii.
Related Posts:
CARLO ANCELOTTI AMTABIRIA MABAYA PEP GUARDIOLA Kocha anayechukua mikoba ya Pep Guardiola katika klabu ya Bayern Munich Carlo Ancelotti amesema ipo siku Guardiola atatimuliwa kama mbwa katika maisha yake ya ukocha. Ancelotti amemuonya Pep kwamba katika maisha yake … Read More
HIKI NDO KIKOSI CHA ENGLAND KITAKACHOSHIRIKI UERO 2016 KIKOSI CHA WANAUME 26 WATAKAOIWAKILISHA ENGLAND KATIKA MICHUANO YA EURO 2016 … Read More
WINGA WA ARSENAL ATUPWA NJE KIKOSI CHA ENGLAND Theo Walcott anayecheza kama Winga/Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal ameachwa katika kikosi cha England kitakachoshiriki michuano ya Euro 2016 nchini Ufaransa. Walcott amesema hajafurahishwa na kuachwa kwake huku akisem… Read More
KINDA WA MAN U AITWA KIKOSI CHA ENGLAND UERO 2016 MARCUS Rashford kijana anayecheza katika kikosi cha Man United ameitwa na Kocha Roy Hodgson katika kikosi cha wachezaji 26 cha timu ya Taifa ya England kitakachoshiriki mashindao ya Euro yatakayofanyika nchini Ufa… Read More
ANGALIA BASI LA MAN UTD LILIVYOSHAMBULIWA BAADA YA MECHI NA WEST HAM … Read More
0 comments:
Post a Comment