Saturday, April 16, 2016

Misri Waihofia Stars AFCON


Timu ya taifa ya Misri katika kile kinachoonekana kupania kuiondoa Taifa Stars katika michuano ya kufuzu mashindano ya Afcon 2017, wapo nchini kuifuatilia Stars kila hatua.

Taarifa zinasema Meneja wa Timu hiyo yupo nchini akiilia rada Stars katika kuhakikisha wanaifunga Stars katika mechi yao ya marudiano.

“Meneja wa Misri yupo nchini tangu Jumatano iliyopita na TFF (Shirikisho la Soka Tanzania) wanazo taarifa za ujio wake, huyu amekuja kuandaa mazingira ya timu itakapofikia na mambo mengine.

“Inavyoonekana wamepania kufuzu fainali hizi na ndiyo maana wameonekana kuanza maandalizi ya mchezo huo ikiwa ni miezi miwili kabla,” alisema mtoa taarifa huyo.

Related Posts:

  • KIPRE TCHETCHE AOMBA KUONDOKA AZAM FC Kipre Tchetche mchezaji wa Azam FC raia wa Ivory Coast amesema inatosha sasa kucheza Tanzania hivyo anataka kwenda kujaribu sehemu nyingine. Kipre ambaye ana mwaka mmoja umebaki katika mkataba wake ametosheka na muda ali… Read More
  • AL AHLY WAMNYATIA DONALD NGOMA Mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe Donald Ngoma ameanza kuwindwana vigogo wa soka la Misri na Afria timu ya Al Ahly. Ngoma amekuwa mshambuliaji tishio sana katika klabu ya Yanga na ametoa mchango mkubwa sana katika ma… Read More
  • TWIGA STARS KUVAANA NA RWANDA Timu ya soka Taifa ya Wanawake ya Tanzania – Twiga Stars, inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Rwanda, utakaofanyika Uwanja wa Amahoro jijini Kigali, Rwanda. Rwanda wameomba mchezo ufanyike ili ku… Read More
  • TFF YATANGAZA TAREHE YA MWISHO KUCHUKUA NA KUREJESHA FOMU ZA KUGOMBEA UONGOZI YANGA Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), iliyopewa jukumu la kusimamia uchaguzi wa Klabu ya Young Africans imeridhishwa na mwenendo wa wanachama kwa namna wanavyochukua na kurejesha fomu. Katika kikao cha… Read More
  • HAWA NDO WATAKAOAMUA MECHI KATI YA STARS NA MISRI Waamuzi wanne kutoka Gabon, ndio watakochezesha mchezo wa kimataifa kati ya Taifa Stars ya Tanzania na Mapharao wa Misri utakaofanyika Jumamosi Juni 4, 2016 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mchezo huo utakaoanza saa 10.00… Read More

0 comments:

Post a Comment