RASMI: MANCHESTER CITY YAMNASA MORENO
Klabu ya Manchester City iliyo chini ya kocha Mpya Pep Guardiola imekamilisha uhamisho wa kinda Mkolombia Marlos Moreno.
Moreno 19, ametua katika dimba la Etihad akitokea Atletico Nocional na amesaini mkataba wa miaka mit…Read More
CLAUDIO RANIERI AIONYA MAN UNITEDClaudio RanieriKocha Wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu nchini Uingereza Leicester City, Claudio Ranieri ameionya Man United kuwa wasitegemee mchezo rahisi leo.
Ranieri amedai anaamini kuna kitu kizuri kinakuja katika klabu yak…Read More
AC MILAN YAUZWA KWA WACHINA
Katika hali ya kushangaza aliyekuwa Mmiliki wa klabu ya AC Milan, Silvio Berlusconi amewauzia wachina hisa zake zote ambazo ni asilimia 99.93.
Ripoti ya Gazzetta World inasema, Meneja uwekezaji Changxing, pamoja na wafany…Read More
0 comments:
Post a Comment