Tuesday, April 19, 2016

HIKI NDO KIKOSI HATARI CHA AZAM FC KITAKACHOING'OA ESPERANCE LEO


Kikosi cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, kitakachopambana na Esperance ya Tunisia kwenye mchezo wa marudiano wa raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika, utakaofanyika Uwanja wa Olympique de Rades leo saa 3.00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

28 Aishi Salum
6 Erasto Nyoni
26 Wazir Salum
12 David Mwantika
13 Aggrey Morris
29 Michael Bolou
14 Ramadhan Singano
18 Frank Domayo
8 Salum Abubakar
19 John Bocco (C)
17 Farid Mussa

AKIBA
1 Mwadini Ali
15 Said Morad
23 Himid Mao
22 Khamis Mcha
20 Mudathir Yahya
9 Allan Wanga
11Didier Kavumbagu

Related Posts:

  • CHIRWA ATUA JANGWANI KWA SH. MILIONI 240Mshambuliaji raia wa Zambia, Obrey Chirwa amejiunga na Yanga kwa dau la sh. Milioni 240 akitokea katika klabu ya FC Platinum za Zimbabwe. Chirwa ameifungia Platinum mabao matano katika mechi nane alizocheza kwenye ligi kuu… Read More
  • CAF YAISAFISHIA NJIA YANGAShirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF), limemthibitisha beki Hassan Kessy kuichezea Yanga katika michuano ya Kombe la CAF CC katika hatua ya makundi. Caf pia imetuma leseni ya wachezaji wengine watatu wa Yanga walioonge… Read More
  • KOCHA MWENYE REKODI ZA KIMATAIFA KUTUA SIMBAHarakati za usajili katika klabu ya Simba bado zinaendelea na habari za hivi karibuni zinasema makocha wanne kutoka katika nchi nne tofauti wamejitokeza kutaka kuinoa klabu hiyo. Geofrey Nyange "Kaburu" (Makamu mwenyekiti … Read More
  • RUVU SHOOTING KUKIPA NGUVU KIKOSI CHAORuvu Shooting ipo katika mipango ya kusajili wachezaji saba ili kujiimarisha kabla hawajaanza kipute cha ligi kuu Vodacom msimu wa 2016/17. kwa sasa Ruvu Shooting inaendelea na kambi kwenye uwanja wa Mabatini Mlandizi, Pwa… Read More
  • KASEKE ACHEKELEA MAISHA YANGAKiungo wa Yanga, Deus Kaseke amesema anajiona ni mwenye bahati kwa kufanikiwa kuchukua mataji mawili (Ligi kuu Vodacom & Kombe la FA) pamoja na kucheza hatua ya makundi kombe la shirikisho Afrika CAF CC katika msimu wake … Read More

0 comments:

Post a Comment