Timu ya Soka ya Azam Fc imekubali kichapo cha magoli 3 kwa 0 dhidi ya timu ya Esperance usiku huu. Kipigo hicho kinafanya idadi ya magoli ya Esperance kufikia 4 wakati Azam ikiwa na magoli 2 hivyo Azam hawataweza kuendelea na michuano hiyo.
Azam ilipata nafasi ya kushiriki katika kombe la shirikisho baada ya kushika nafasi yapili katika ligi kuu ya Tanzania bara.
Tuesday, April 19, 2016
Azam watupwa nje ya mashindano ya kombe la shirikisho
Related Posts:
HAWA NDO WANAOTUPIWA VIRAGO KLABU YA SIMBA Simba ipo katika harakati za kukisuka upya kikosi chao na tayari taarifa za ndani ya klabu hiyo zimeonyesha wazi wachezaji ambao wataondoka klabuni hapo kupisha wengine waendeleze gurudumu Msimbazi. Kwa mujibu wa Gazeti … Read More
SAMATTA AIPA YANGA MBINU ZA KUIMALIZA TP MAZEMBE Mchezaji wa zamani wa klabu ya TP Mazembe ya Congo, Mbwana Ally Samatta amesema Inawezekana Yanga kuifunga TP Mazembe Samatta anayecheza katika klabu ya Genk ya nchini Ubelgiji ameonyesha kufurahishwa kwake baada ya timu … Read More
KLABU 2 ZA MISRI VITANI KUWANIA SAINI YA DONALD NGOMA Klabu za Misri Al Ahly na Zamalek zipo katika vita ya kuwania saini ya Mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma. Uwezo mkubwa wa Donald Ngoma anapokuwa uwanjani umezifanya klabu nyingi kuhitaji saini ya mchezaji huyo anaeitumi… Read More
MANJI AWAFUTA UANACHAMA WALIOFANYA NJAMA ZA KUHUJUMU UCHAGUZI YANGA Mwenyekiti wa Yanga Yusuph Manji amemvua uanachama Mzee Msumi baada ya kudaiwa kufanya njama na viongozi TFF kuhujumu uchaguzi yanga na kupanga safu yao ya uongozi, Wanachama Wa Yanga Wakiwa Makao Makuu Ya Timu Hiyo Wali… Read More
TANZANIA YAPOROMOKA KATIKA UBORA WA VIWANGO VYA SOKA DUNIANI Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeshuka kwa nafasi 7 kutoka nafasi ya 129 hadi 136 katika ubora wa viwango vya soka duniani. Algeria imeendelea kushika nafasi ya kwanza barani Afrika huku ikiwa imepanda katika viw… Read More
0 comments:
Post a Comment