Yanga Yainyoosha Azam Fc Chamanzi

Azam FC 1 - 2 Young Africans.

Kiungo Wa Everton James McCathy Avunjika Mguu

Kiungo James McCarthy wa Everton sasa atakaa nje na kuukosa msimu wote huh baada ya kuvunjika mifupa miwili ya mguu wake.

DRAW CAF CL And CC 2018

Draw Caf Cl and CC 2018

Yanga Yazinduka Yaambulia Ushindi Mwembamba

Klabu ya Yanga leo imefanikiwa kuibuka na ushindi mwembamba wa goli moja kwa sifuri

Madrid Yaivurumisha Deportivo 7-1

Klabu ya Real Madrid leo imefanikiwa kuchomoza na ushindi mnono kwa jumla ya magoli 7-1 dhidi ya Klabu Deportivo la Coruna

Saturday, April 7, 2018

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA WALAYTA DICHA HIKI HAPA

KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA (CAF CC 2018)
KNOCK OUT STAGE

Young Africans - Walayta Dicha FC
Stadium: Uwanja wa Taifa - Dar Es Salaam
Muda: Saa 10:00 Jion


KIKOSI CHA YANGA LEO DHIDI YA WALAYTA DICHA
1. Youthe Rostand
2. Hassan Kessy
3. Mwinyi Haji
4. Abdallah Shaibu
5. Andrew Vincent
6. Thaban Kamusoko
7. Yusuph Mhilu
8. Raphael Daud
9. Pius Buswita
10 Ibrahim Ajibu
11. Emmanuel Martin

Kikosi cha akiba

12. Ramadhan Kabwili
13. Juma Abdul
14. Nadri Haroub
15. Patto Ngonyani
16. Juma Mahadhi
17. Yohana Mkomola
18 Geoffrey Mwashiuya

Wednesday, March 21, 2018

BREAKING NEWS: Hawa Ndo Wanaokutana na Yanga Kombe La Shirikisho Africa

Draw ya klabu bingwa Africa CAF pamoja na kombe la shirikisho imekamilika usiku huu, huku Wawakilishi pekee kutoka nchini Tanzania klabu ya Yanga ikipangwa kucheza na klabu ya Welayta Dicha F.C. kutoka nchini Ethiopia.
Draw nzima hii hapa chini


PICHA:CHANGAMSHA SIKU YAKO KISOKA

Uongo wa wachezaji; Vidal kapiga chini Mwenyewe anadai Penati!!! Lol

Kama Kweli Vile

Nadhani Hapa Mashabiki Walizuiwa kuingia Uwanjani: Jamaa Kafunga Goli Kaenda Kujishangilia Mwenyewe: Hahahahaaa

DRAW KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA CAF 2018

Baada ya kuondoshwa katika michuano ya klabu bingwa Afrika, klabu ya Yanga sasa itashiriki katika kombe la shirikisho barani Afrika CAF CC.



Bonyeza Link kuona Draw live>>>>>>DRAW LIVE

Sunday, January 28, 2018

Hiki Ndo Kikosi Cha Kocha Mfaransa Simba Ikiivaa Majimaji Leo Taifa


Ligi Kuu Vodacom, Tanzania Bara

Mechi:Simba V Majimaji
Mahali:Uwanja Wa Taifa
Muda: Saa 10:00 Jioni



Kikosi Cha Simba Leo


Sunday, January 21, 2018

Ronaldo, Bale, Nacho Watupia Madrid Ikiiangamiza Deportivo 7-1

Matokeo La Liga