MATCH PREVIEW: Coastal Union vs Yanga
kombe la shirikisho Azam Sports Confederation Cup linaendelea tena leo katika hatua ya nusu fainali ambapo katika uwanja wa mkwakwani huko jijini Tanga, Wenyeji Coastal Union wanawakaribisha Vijana wa jangwani Dar Young …Read More
LIVE KUTOKA MKWAKWANI: Coastal Union Vs Yanga
KOMBE LA SHIRIKISHO (ASFC)
NUSU FAINALI
MECHI IMEVUNJIKA KUTOKANA NA VURUGU ZILIZOANZISHWA NA MASHABIKI WA COASTAL UNION. HATIMA YA MCHEZO HUO UNASUBIRI RIPOTI YA KAMISAA PAMOJA NA MWAMUZI WA KATI WA MCHEZO HUO ILI KUIWE…Read More
MATCH PREVIEW: Mwadui VS Azam FC
LEO ndio leo ndani ya Uwanja wa Mwadui, mjini Shinyanga, ambapo utashuhudiwa mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) kwa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC kuvaa…Read More
0 comments:
Post a Comment