Hatimaye Klopp Ashangilia Bao Dhidi Ya Dortmund
Klopp akishangilia baada ya Goli la Origi
Liverpool itachukua bao la ugenini nyumbani Anfield kwa mechi ya marudiano ya robo fainali ya Europa League na Borussia Dortmund, shukrani ziende kwa Divock Origi kwa bao lak…Read More
JE, JURGEN KLOPP ATASHANGILIA MAGOLI DHIDI YA DORTMUND LEO?
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp hajui kama atapokelewa na
mashabiki wa Dortmud kama shujaa anaerudi vitani au Adui? Hata hivyo kocha huyo hana lengo la kuwaridhisha
mashabiki wake wazamani ambao walimpenda sana.
Kl…Read More
Kikosi Cha Esperance De Tunis Kutua Nchini Leo
Kikosi Cha Esperance De Tunis
Azam inatarajia kuvaana na Esperance katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika, mechi ambayo itachezwa kwenye Uwanja wa Chamazi, keshokutwa Jumapili.
Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saadi Kawemb…Read More
Al Ahly Waanza MbwembweKocha Mholanzi wa Al Ahly ya Misri ameiongoza timu yake katika mazoezi jioni ya leo Uwanja wa Gymkhana, Dar es Salaam, lakini Waandishi wa Habari wakazuiwa kuingia.
Al Ahly waliweka walinzi wao pamoja na walinzi wa Gymkhana k…Read More
0 comments:
Post a Comment