Friday, March 3, 2017

BREAKING NEWS: Hans Van Pluijm afungashiwa virago yanga.


Hans Van Pluijm afungashiwa virago yanga.
Hali ya ukata ndani ya kilabu ya Yanga imeingia sura mpya baada ya mkurugenzi wa ufundi wa timu hiyo kuachisha kazi rasmi leo.

Alipohojiwa Hans Van Pluijm alisema ““Nimepewa barua asubuhi hii na yanga juu ya mkataba wangu kuwa umesitishwa, kikubwa walichokisema ni kuwa klabu kwa sasa inakabiliwa na ukata hivyo hawana uwezo wa kuendelea kunilipa”.


Aliongeza kusema “Kwa sasa nipo huru kujiunga na klabu yeyote itakayoonyesha nia na mimi basi nitafanya nao kazi”
Hans Van Pluijm amekuwa Kocha wa YAnga na amedumu tangu 2014–2016 na amefanikiwa kuifikisha timu hiyo katika hatua ya makundi kombe la washindi barani Afrika msimu wa 2015/2016 kabla ya hivi karibuni kuja kwa kocha Lwandamina na kufanya yeye kuwa mkurugenzi wa ufundi.

Related Posts:

  • YANGA YAENDELEA KUJIWEKA FITI KLABU ya Dar Young Africans imeendelea na mazoezi huko mwanza katika viwanja vya DIT wakijiandaa na mchezo wao dhidi ya Toto Africans ambao utachezwa siku ya Jumamosi April 30, Yanga ambayo inashika nafasi ya kwanza kw… Read More
  • Dennis Kitambi Aeleza Siri Ya Ushindi Wao Dhidi Ya Majimaji KOCHA Msaidizi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Dennis Kitambi, amesema kuwa maelekezo waliyowapa wachezaji wao ya kuongeza hali ya kupambana mchezoni kabla ya kuanza kipindi cha pili ndio yamepelekea… Read More
  • SIMBA WAREJEA DAR TAYARI KWA KUIVAA AZAM FC TIMU ya Simba Sports Club imewasili jijini Dar wakitokea visiwani Zanzibar ambako walikwenda kujiandaa na mchezo wao dhidi ya Azam FC. Simba inayoshika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi inahitaji ushindi katika mchez… Read More
  • KIKOSI CHA YANGA LEO DHIDI YA TOTO AFRICANS KIKOSI CHA YANGA LEO. 1. Deogratius Munishi Dida. 2. Juma Abdul Japhary. 3. Oscar Fanuel Joshua. 4. Kelvin Patrick Yondani. 5. Vicent Bossou. 6. Salum Abo Telela. 7. Saimon Happygod Msuva. 8. Haruna Fadhil Niyo… Read More
  • TCHETCHE YUKO FITI KUIVAA SIMBA MSHAMBULIAJI hatari wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Kipre Tchetche, yupo fiti asilimia 100 kuivaa Simba  kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaofanyika Uwanja wa Taifa, D… Read More

0 comments:

Post a Comment