Claudio Ranieri afungashiwa virago Kutokana na mwenendo
mbovu wa Matokeo kwenye kilabu ya Leicester City.
Msimu huu kila timu imecheza michezo 25, na anaeongoza ligi
Chelsea ana pointi 60, wakati bingwa mtetezi akiwa na pointi 21 tu. Yaani amezidiwa
jumla pointi 42 na kinara wa ligi.
Kwa mwenendo huo mbovu kuanzia leo rasmi Ranieri sio kocha
tena wa Leicester City.
Makamu mwenyekiti wa Leicester City Aiyawatt
Srivaddhanaprabha amesema”yamekuwa maamuzi ya kwanza magumu kuyafanya ndani ya
kipindi cha miaka saba”.
Jedwali lifuatalo linaonyesha Matokeo ya Leicester City chini ya kocha Claudio Ranieri baada
ya 25
Msimu
|
Nafasi
|
Kushinda
|
Kufungwa
|
Magoli Kufunga
|
Magoli kufungwa
|
pointi
|
2015/2016
|
1
|
15
|
2
|
47
|
27
|
53
|
2016/2017
|
17
|
5
|
14
|
24
|
43
|
21
|
0 comments:
Post a Comment