Msimu huu huenda Lionel Messi akavunja au akaikuta rekodi
iliyowekwa na Cristiano Ronaldo msimu wa 2015/16 wa kufunga jumla ya magoli 11
katika hatua ya makundi.
Messi ambae ana magoli 92 na kilabu bingwa ulaya matatu
nyuma ya Ronaldo mwenye magoli 95, mpka sasa amebakisha mchezo mmoja wa makundi
dhidi ya Mönchengladbach anahitaji magoli 2 tu aweze kumfikia Ronaldo, mpka
sasa Messi ana magoli 9 aliyoyapata baada ya kufunga mara tatu katika mchezo
mmoja (hat-tricks)dhidi ya Manchester city na celtic na kuongeza mengine miwili
dhidi ya Glasgow, na lingine dhidi za city.
Hakuna mchezaji mwingine yoyote aliyewahi kufikisha ‘two
digits’ katika hatua ya makundi ya michuano hiyo zaidi ya Ronaldo.
Wachezaji waliojaribu kukaribia two digits ni kama ifuatavyo
Cristiano Ronaldo(11) 2015/16
Luiz Adriano (9)
msimu wa 2014/15
Lionel Messi (9) msimu 2016/17
Van Nistelrooy (8) msimu 2004/5
philipo Inzaghi (8) msimu 2002/3
Herman crespo(8) msimu 2002/3
Samuel Eto'o (7) msimu 2010/11
Zahovič (7) msimu 1998/99
0 comments:
Post a Comment