Simba imeendeleza wimbi lake la ushindi msimu huu baada
ya leo kuifunga timu ngumu ya kagera
sugar ya mkoani kagera katika mchezo ulichezwa uwanja wa Uhuru jiji Dar es
salaam, na hii inamainisha samba imeshinda mchezo wake wa saba kati ya michezo
9 iliyocheza mpka sasa. Kikubwa leo ni mshambuliaji machachari sana wa simba shiza
kichuya akiweka rekodi ya kufunga mechi ya tano mfululizo na kusababisha goli
laa kwanza la la muzamir yassin baada ya kupiga kona ilyotua kichwani mwa
mfungaji na kumuacha kipa ya kagera akiruka bila malengo.
Matokeo ni kama yanavyooneka hapa chini
Simba 2 0 kagera yassin,
kichuya
Jkt ruvu 1 1 mwadui
Stand united 1 1 African lyon
0 comments:
Post a Comment