Saturday, August 13, 2016

WALIOSAJILIWA,WALIOACHWA ARSENAL MSIMU WA 2016-17

Kuelekea Msimu wa 2016-17 klabu ya Arsenal imekamilisha Usajili Ufuatao;

WALIOINGIA;

MCHEZAJI KLABU ALIYOTOKA ADA YA UHAMISHO
Granit Xhaka B.Monchengladbach Pauni 30m
Takuma Asano Sanfrecce Hiroshima Pauni laki 8
Rob Holding Bolton Wanderers Pauni 2m
Kelechi Nwakali Diamond Football Pauni 3m

WALIOONDOKA;

MCHEZAJI KLABU ALIYOKWENDA ADA YA UHAMISHO
Mikel Arteta Manchester City Amestaafu
Mathieu Flamini ................ Huru
Tomas Rosicky ................ Huru
Isaac Hayden Newcastle United Pauni 2.5m
W.Silva Fluminense Haijawekwa Wazi

WALIOTOLEWA KWA MKOPO;

MCHEZAJI KLABU ALIYOKWENDA
Daniel Crowley Oxford United
Ryan Huddart Eastleigh
Jon Toral Granada
W.Szczesny Roma
S.O'Connor Maastricht
J.Pleguezuelo Mallorca

Like Ukurasa Wa Soka24 Facebook, Bonyeza  HAPA 


0 comments:

Post a Comment