Mbwana Samata ameisaidia timu yake ya KRC Genk Kuibuka na ushindi wa magoli 2 - 0 dhidi ya Buducnost katika mchezo wa kwanza wa kufuzu kucheza fainali za Europa League 2016/17.
Katika mchezo huo Samata alifunga goli zuri sana ambalo limesifiwa na wadau wengi wa soka duniani kutoka na ubora wa goli hilo.
Tazama Video ya Goli Hilo Hapa Chini
0 comments:
Post a Comment