Saturday, July 16, 2016

RASMI: PAUL NONGA AONDOKA YANGA

Aliyekuwa mchezaji wa Yanga Paul Nonga ameondoka klabuni hapo na kujiunga na klabu ya Mwadui baada ya muda mrefu kuuomba uongozi wa klabu hiyo imuuze kwenye klabu ambayo atapata nafasi ya kucheza.
Paul Nonga akisaini mkataba wa kuichezea Mwadui FC

Ombi hilo la Nonga limekubaliwa na uongozi wa Yanga na hatimaye kumuuza mchezaji huyo katika klabu ya Mwadui na tayari Nonga ameshasaini mkataba na klabu hiyo tayari kwa kuanza kuitumikia katika msimu ujao wa ligi kuu Vodacom 2016/17.
Bonyeza Hapa Ku-Like Ukurasa Wa Soka24 Facebook

0 comments:

Post a Comment