Home »
Usajili
» CHELSEA YATHIBITISHA KUMSAJILI MCHEZAJI HUYU
Klabu ya Chelsea imetangaza kumsajili Juan Familia-Castillo akitokea klabu ya Ajax.
Kila mwaka Chelsea inawapandisha vijana kutoka katika kikosi chao cha vijana na mwaka huu tayari Castillo amepata bahati hiyo kutokana na kuonyesha uwezo mkubwa.
Castillo amekuwa na klabu ya Chelsea ya Vijana tangu akiwa na umri wa miaka 8. Kinda huyo alikuwa Nahodha wa klabu ya vijana chini ya umri wa miaka 16 msimu huu.
Ripoti za Kiungo huyo kujiunga na klabu ya wakubwa ya Chelsea zilianza tangu Januari mwaka huu na sasa tayari dili hilo limeshakamilika.
0 comments:
Post a Comment