MARUFUKU SIMBA NA YANGA KUTUMIA UWANJA WA TAIFA
Serikali yatoa katazo juu ya simba na yanga kuuutumia uwanja wa taifa na kuwaambia watafute pakuchezea mechi zao. Hayo yamesemwa na waziri anaehusika na michezo mheshimiwa Nape.Nape alisema hivi
“Uwanja huu sasa hautatumik…Read More
AZAM VS SIMBA KUPIGWA DIMBA LA UHURU
Mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kati ya Azam FC na Simba ya Dar es Salaam, utafanyika Jumamosi Septemba 17, 2016 kama ilivyopangwa awali.
Ila mchezo huo utafanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam badala y…Read More
YANGA WAPATA ENEO LA UWANJA
Hatimae yanga yapata kibali cha kujenga uwanja wao katika manispaa ya kigamboni baada ya kusubiri michakato kwa muda mrefu sana. hayo yamethibitishwa na mtu wa ndani wa kilabu ya yanga hapo jana. eneo hilo lina hekari zaid…Read More
0 comments:
Post a Comment