Tuesday, June 28, 2016

BREAKING NEWS: KUTOKA UWANJA WA TAIFA MASHABIKI WAVUNJA GETI MABOMU YALINDIMA

MASHABIKI wamevunja geti la kuingia uwanjani na wameanza kupambana na polisi ambao wamelipua mabomu ya machozi na kuwamwagia maji ya kuwasha.Co-ordinator wa mchezo huo ametoa tahadhari kama hali itaendelea hivi basi atasimamisha mchezo huo.



0 comments:

Post a Comment