Friday, June 10, 2016

VIDEO: MASHABIKI WA UINGEREZA WALIVYOANZISHA VURUGU UFARANSA

Mashabiki Wawili Wa Uingereza Wanashikiliwa Na Polisi Baada Ya Kuingia Katika Mzozo Na Baadhi Ya Vijana Wa Kifaransa.

Polisi 4 wa nchini humo wamejeruhiwa katika ghasia hizo. Inasemekana mashabiki hao wa England walioanzisha vurugu walikuwa wamelewa, lakini hakuna mali zozote zilizoharibiwa kutokana na vurugu hizo.

Tazama Video Hapa Chini Jinsi Hali Ilivyokuwa

0 comments:

Post a Comment