Riyad Mahrez Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwaka EPL
Staa wa Leicester City Riyad Mahrez ametangazwa jumapili hii kuwa mchezaji bora wa mwaka wa ligi ya Uingereza baada ya kupigiwa kura na wachezaji wenzie.
Mahrez akiwa na tuzo yake
Mahrez (25) aliyezaliwa Ufaransa na ku…Read More
Samatta Anusurika Kuvunjika Pua
Taarifa mbaya kuhusu star wa Bongo kwenye ligi ya Ubelgiji Mbwana Samatta ni kwamba, amepata majeraha katika mchezo wa Jumapili April 24 usiku ambapo Genk ilishuka dimbani, mchezo ambao alianza kwenye kikosi …Read More
Mambo 5 Ya Ajabu Yaliyosababisha Mechi Kusimama
Mpira wa miguu una mambo mengi tena mara nyingine unaweza kushangazwa zaidi na mambo ya ajabu yanayotokea viwanjani na kulazimika mechi kusimama kwa muda. Hutokea wachezaji wakiwa wanapambana kuzitafutia ushindi timu zao…Read More
Gareth Bale Asisitiza Hana Bifu Na Christiano Ronaldo
Gareth Bale amekanusha uvumi unaomhusisha yeye kutokuwa na mahusiano mazuri na mchezaji mwenzie Christiano Ronaldo maarufu kama CR7, akisema ana mahusiano mazuri tu na mchezaji huyo na kamwe hajawahi kuingia katika mzozo…Read More
0 comments:
Post a Comment