HAWA NDO WATAKAOAMUA MECHI KATI YA STARS NA MISRI
Waamuzi wanne kutoka Gabon, ndio watakochezesha mchezo wa kimataifa kati ya Taifa Stars ya Tanzania na Mapharao wa Misri utakaofanyika Jumamosi Juni 4, 2016 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mchezo huo utakaoanza saa 10.00…Read More
KIPRE TCHETCHE AOMBA KUONDOKA AZAM FC
Kipre Tchetche mchezaji wa Azam FC raia wa Ivory Coast amesema inatosha sasa kucheza Tanzania hivyo anataka kwenda kujaribu sehemu nyingine.
Kipre ambaye ana mwaka mmoja umebaki katika mkataba wake ametosheka na muda ali…Read More
AL AHLY WAMNYATIA DONALD NGOMA
Mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe Donald Ngoma ameanza kuwindwana vigogo wa soka la Misri na Afria timu ya Al Ahly.
Ngoma amekuwa mshambuliaji tishio sana katika klabu ya Yanga na ametoa mchango mkubwa sana katika ma…Read More
TWIGA STARS KUVAANA NA RWANDA
Timu ya soka Taifa ya Wanawake ya Tanzania – Twiga Stars, inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Rwanda, utakaofanyika Uwanja wa Amahoro jijini Kigali, Rwanda.
Rwanda wameomba mchezo ufanyike ili ku…Read More
0 comments:
Post a Comment