Sunday, May 22, 2016

MASHABIKI YANGA WACHOMA MOTO MAGAZETI YA THE GUARDIAN NA NIPASHE

Wanachama na mashabiki wa Yanga wakiyachana na kuyachoma moto magazeti ya The Guardian na Nipashe yanayomilikiwa na IPP MEDIA

 



Wanachama hao walionekana kukasirishwa na kitendo cha Reginald Mengi kutumia vyombo vyake vya habari kuandika habari za uongo na uchochezi kuhusu Manji ili kuivuruga Yanga,Mengi ambaye pia ni mwanachama wa Yanga anaonesha kutofurahishwa kwake na uwepo wa Manji katika klabu ya Yanga.

0 comments:

Post a Comment