Leicester City wamezidi kuusogelea ubingwa wa ligi kuu nchini Uingereza baada ya kushinda mchezo wao na Sunderland
Matokeo haya yanazidi kuiweka Leicester City katika nafasi ya kwanza ikiwa na jumla ya pointi 72 pointi kumi nyuma ya Totenham wanaoshika nafasi ya pili.
0 comments:
Post a Comment