Sunday, April 17, 2016

Hatimaye Mourinho Asaini Man Utd


Hatimaye kocha mwenye mbwembe nyingi zaidi duniani Jose Mourihno amekubali kusaini kandarasi na Mashetani wekundu yani Man Utd. 
kama ambavyo ilisubiriwa na wengi kuwa kocha huyo angesaini manchester, hilo limetimia baaada ya kusaini mkataba ambao utamuweka klabuni hapo hadi mwaka 2019.

Ibrahimovic ndo atakuwa kipaumbele cha kwanza kwa kocha huyo Mreno katika msimu ujao wa usajili.
hii imekuwa ni habari njema sana kwa mashabiki wa Machester United ambao kwa hivi karibuni wamekuwa hawafurahishwi na mwenendo wa klabu yao ambayo ipo chini ya Mholanzi Louis Van Gaal.


Chanzo: Bild
Jumapili, April 17, 2016 10:26

0 comments:

Post a Comment