Kuelekea saa kumi ulinzi waimarishwa Uwanja wa taifa kamera 4000 zafungwa kuwabaini wale wote
watakaohujumu Uwanja huo.
Pia polisi zaidi ya 400 kuimarisha amani uwanjani hapo.
Simba na Yanga ni Mahasimu wa jadi hivyo wanapokutana vita huwa
inaanzia mitaani na kumalizikia uwanjani.
Shamra shamra zimetanda kila kona ya Tanzania na nchi jirani
wakiwa na hamu kuwaona wababe hao wa kihistoria watakavyotoana jasho jioni ya
leo.
Tahadhari: Michezo
ni furaha na ni amani twende uwanjani tukafurahi na si kuvunja Amani
0 comments:
Post a Comment