Ligi kuu Tanzania Bara (VPL) inataraji kuendelea tena leo kwa michezo mitatu itakayotimua vumbi katika mikoa ya Dar, Mbeya na Mtwara.
Ratiba Kamili ni kama inavyoonekana hapa chini;
Dar Es Salaam
Simba V Azam FC
Mbeya
Tanzania Prisons V Mbeya City
Mtwara
Ndanda V Majimaji
Usikiose kufuatilia Mtanange Mkali kabisa kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC utakaopigwa katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam leo majira ya saa 10:00 Jioni, Hapahapa Soka24, Tutakuletea mechi hii moja kwa moja kutoka uwanja wa taifa.
0 comments:
Post a Comment