Wednesday, December 28, 2016

BREAKING NEWS: AZAM FC YASIMAMISHA BENCHI LAKE LOTE LA UFUNDI

Klabu ya Azam FC imesimamisha uongozi wa benchi lake lote la Ufundi akiwemo kocha Mkuu Zeben Hernandez.
Kocha wa Muda atatangazwa hivi punde.

Habari zaidi itakujia hivi punde..............................

0 comments:

Post a Comment