Kuelekea mchezo wa fainali Euro 2016 kati ya Ufaransa na Ureno, Soka24 inakuletea orodha ya rekodi bora alizovunja Christiano Ronaldo katika timu yake ya Taifa.
1. Amepiga Hat-tricks 3 katika Timu ya taifa sawasawa na Pauleta
2. Ameshiriki Michuano minne ya Euro ni rekodi ya kipekee katika timu ya taifa ya Ureno
4. Amefunga katika mechi 7 za michuano ya Euro na kuwa mchezaji wa kwanza kufanya hivyo katika timu yake ya taifa.
5. Amefunga magoli 9 katika michuano yote ya Euro na kufikia rekodi ya Michel Platini
6. Amecheza mechi 20 kwenye michuano yote ya Euro aliyoshiriki, ni rekodi ya mashindano.
7. Mfungaji bora wa muda wote wa Ureno, akifunga jumla ya magoli 61
8. Mchezaji mdogo zaidi kuwahi kupewa unahodha wa timu ya taifa, alipewa unahodha akiwa na umri wa miaka 27 miezi 8 na siku 11.
9. Amecheza mechi 132 katika timu ya taifa ya Ureno, ni nahodha aliyekaa kwa muda mrefu zaidi katika kikosi hicho
Bonyeza Hapa Ku-Like Ukurasa Wa Soka24 Facebook
0 comments:
Post a Comment