Home »
Kitaifa
,
Vpl
» PICHA: SIMBA WALIVYOAGWA TAYARI KWENDA KUJIANDAA NA MSIMU UJAO
Uongozi wa klabu ya Simba pamoja na wanachama na mashabiki wamekiaga kikosi cha Simba tayari kwenda kuanza mazoezi katika kambi itakayowekwa mkoani Morogoro kujiandaa na kuanza kwa msimu mpya wa ligi Kuu.
0 comments:
Post a Comment