Monday, July 11, 2016

WANAOWANIA TUZO ZA LIGI KUU VODACOM 2015/16

Utoaji wa tuzo za washindi ligi kuu Vodacom msimu wa 2015/16 utafanyika Julai 17 jijini Dar es Salaam.

Wanaowania Tuzo Hizo Ni Kama Ifuatavyo:

MCHEZAJI BORA WA KIMATAIFA SH. MILIONI 5.7
Wanaowania Ni;
1. Thaban Kamusoka (Yanga)
2. Donald Ngoma (Yanga)
3. Vicent Agban (Simba)

KOCHA BORA WA MSIMU SH. MILIONI 8.7
Wanaowania Ni;
1. Hans Van Pluijm (Yanga)
2. Mecky Mexime (Mtibwa Sugar)
3.  Salum Mayanga (Tanzania Prisons)

MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI
1. Farid Mussa (Azam FC)
2. Mohamed Hussein "Tshabalala) (Simba)
3. Mzamiru Yasin (Mtibwa Sugar)
4. Shiza Kichuya (Mtibwa Sugar)

MWAMUZI BORA SH. MILIONI 8.7
Wanaowania Ni;
1. Anthony Kayombo
2. Ngole Mwangole
3. Rajab Mrope

Zawadi zingine ambazo zitatolewa katika hafla hiyo ni pamoja na;
1. Timu Yenye Nidhamu ambayo itapewa Sh. Milioni 17

Yanga ambayo  ndio Bingwa wa ligi hiyo itapewa Sh. Milioni 81, Azam Mshindi wa Pili atapata Sh. milioni 46  wakati Simba iliyomaliza katika nafasi ya tatu itapata  sh. Milioni 26.
Bonyeza Hapa Ku-Like Ukurasa Wa Soka24 Facebook

0 comments:

Post a Comment