Klabu ya Manchester United ipo katika harakati za kuhakikisha wanainasa saini ya Kiungo wa Juventus Paul Pogba, lakini mbio hizo zinaweza kukumbwa na changamoto na hatimaye Man U kujikuta wakishindwa kupata huduma ya nyota huyo kutokana na vilabu vingine vikubwa kuonyesha nia ya kutaka kumsajili.
Endapo Man U watashindwa kumpata Pogba basi hapa kuna wachezaji 10 ambao wanaweza kuwa mbadala wake klabuni hapo
Kevin Strootman - AS Roma |
Marco Veratti - PSG |
Ross Barkley - Everton |
Joao Mario - Sporting Lisbon |
Blaise Matuidi - PSG |
Axel Witsel - Zenit Saint-Petersburg |
Luka Modric - Real Madrid |
Andre Gomes- Valencia |
Ruben Neves- FC Porto |
Will Hughes- Derby Country |
0 comments:
Post a Comment