Friday, July 1, 2016

URENO YAIFUNGISHA VIRAGO POLAND EURO 2016

Timu ya taifa ya Ureno imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali michuano ya Euro  2016 inayoendelea huko nchini Ufaransa baada ya kuiondosha Poland kwa mikwaju ya 5 - 3 ya penati kutokana na kumalizika kwa dakika 120 timu hizo zikiwa zimefungana 1 - 1.

Hii inakuwa mara ya nne kwa Ureno kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo tangu wafike hatua hiyo mara ya mwisho mwaka 2000.

Bonyeza Hapa Ku-Like Ukurasa Wa Soka24 Facebook


0 comments:

Post a Comment