Thursday, May 19, 2016

WATAKAOKUTANA NA YANGA HATUA YA MAKUNDI KUJULIKANA MEI 24

Draw ya kombe la shirikisho barani Afrika itafanyika Mei 24, 2016




Tayari timu 8 zimeshapatikana zitakazochuana katika hatua ya makundi kombe la shirikisho barani Afrika, kwa mujibu wa kalenda ya CAF draw itafanyikaa Mei 24 mwaka huu ambapo makundi mawili yatapatikana yatakayowania kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo.

Yanga ndio timu pekee inayoiwakilisha Tanzania katika michuano hiyo baada ya matokeo ya jana dhidi ya Sagrada Esperanca.

Timu zilizotinga hatua ya 8 bora ni;

MO Béjaïa-Algeria 

TP Mazembe-Democratic Republic of the Congo 

Medeama-Ghana 

Al-Ahli Tripoli-Libya 

FUS Rabat-Morocco

Kawkab Marrakech-Morocco 

Young Africans-Tanzania 


Étoile du Sahel-Tunisia 




Related Posts:

  • YANGA TAYARI KWA KUIVAA MO BEJAIA Timu Ya Yanga imeshawasili nchini Algeria tayari kwa kuwavaa MO Bejaia katika mchezo wa kwanza hatua ya makundi kombe la shirikisho barani Afrika CAF CC, utakaofanyika siku ya kesho Jumapili juni 19, 2016 … Read More
  • KOCHA YANGA ATOA ONYO KALI CAFKocha Mkuu wa Yanga, Hans Van Pluijm ameliomba shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) kuchukua hatua kali kwa klabu ambazo mashabiki wake wataleta vurugu dhidi ya timu pinzani. Pluijm ametoa onyo hilo kwa CAF wakati huu… Read More
  • CAF YAISAFISHIA NJIA YANGAShirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF), limemthibitisha beki Hassan Kessy kuichezea Yanga katika michuano ya Kombe la CAF CC katika hatua ya makundi. Caf pia imetuma leseni ya wachezaji wengine watatu wa Yanga walioonge… Read More
  • MEDEAMA SC KUJITOA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA (CAF CC)Medeama huenda ikajitoa katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika CAF CC, kutokana na hali ngumu ya kifedha. Medeama imepangwa kucheza na TP-Mazembe katika mchezo wa kwanza wa hatua hiyo Juni 19,2016. CAF bado h… Read More
  • WALICHOKIFANYA MO BEJAIA KUHAKIKISHA YANGA HAWATOKI ALGERIA Wapinzani wa Yanga katika Kundi A la michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika, MO Bejaia kutoka Algeria wamefanya mabadiliko katika benchi lao la ufundi. Kocha Nacer Sandzak ameteuliwa kuwa kocha mkuu mpya kuchukua … Read More

0 comments:

Post a Comment