Thursday, May 19, 2016

MASHABIKI 17 WA LIVERPOOL WATIWA NDANI

Mashabiki 17 wa Liverpool walitiwa kizuizini na kuachiwa kufuatia matukio yaliyojitokea katika mchezo wa fainali Europa League Jana.




Police wa Basel waliwakamata mashabiki 30 na kuwaweka ndani 17 wakiwa ni wa Liverpool na 13 wa klabu ya Sevilla. Hata hivyo mashabiki hao wote wameachiwa na walikamatwa kutokana tu na vitendo visivyo vya kiungwana ikiwemo kufoji ticket za mchezo huo huku wengine wakileta vurugu za hapa na pale ndani ya uwanja. Kutokana na kutokuwa na malalamiko kutoka katika klabu ya Basel juu ya vurugu hizo, hakuna shabiki yeyote anayeshikiliwa na polisi hadi sasa, wote wameachiwa. 

Related Posts:

  • ALAVES YASHUSHA KIMBUNGA CAMP NOU Klabu ya Barcelona imepokea kichapo kutoka kwa timu ya Alaves Jana Jumamosi cha magoli 2-1. Goli la Mathieu dakika ya 46 na lile la Ibai Gomez dakika ya 63 yalikamilisha ushindi huo walioupata katika dimba la Camp Nou, hu… Read More
  • USIPITWE NA HAYA MAMBO MUHIMU USAJILI LIGI KUU UINGEREZA 2016-17 Klabu za Ligi ya Premia zilitumia zaidi ya £155m siku ya mwisho ya kuhama kwa wachezaji kipindi cha majira ya joto na kufikisha jumla ya pesa zilizotumiwa hadi rekodi mpya ya £1.165bn. Klabu zilikuwa tayari zimetumia j… Read More
  • YAYA TOURE ATUPWA NJE YA KIKOSI CHA MAN CITY Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amemwacha nje kiungo wa kati wa timu hiyo yaya Toure katika kikosi chake cha kombe la vilabu bingwa Ulaya mwaka 2016-17. City haikuweza kuweka zaidi ya wachezaji 17 wa kigeni katika kik… Read More
  • GARETH BALE HAJALI KUFUNIKWA NA POGBA Mchezaji wa Real Madrid Gareth Bale anasema kuwa hashtushwi na hatua ya kupoteza taji la kuwa mchezaji ghali zaidi duniani alilopoteza kwa Paul Pogba. Bale alipoteza taji hilo kwa Pogba baada ya miaka mitatu kufuatia hatu… Read More
  • MOURINHO AWATAJA WALIOICHOMESHA UNITED DHIDI YA MAN CITY Kocha asiyeisha Mbwembwe, maneno mengi na visingizio lukuki pale anapofanya vibaya, Jose Mourinho, kwa mara nyingine tena ameibuka na kuwanyooshea vidole baadhi ya wachezaji katika kikosi chake kilichocheza jana na Man City … Read More

0 comments:

Post a Comment